Taifa Gas chini ya Rostam Aziz kufanya uzinduzi ujenzi wa ghala Mombasa leo

NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya Taifa Gas chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wake, Bilionea Rostam Aziz hii leo inatarajia kuzindua rasmi ujenzi wa Ghala la Gesi kikiminika ya kupikia LPG litakalokuwa na ujazo wa tani 30,000.

Mgeni rasmi katika shughuli hiyo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Dkt.William Ruto ambaye ataweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi kwa ujenzi huo.

Pichani ni wadau mbalimbali wakikusanyika katika Eneo la Uwekezaji Maalum (SEZ) Dongo Kundu Mombasa,nchini Kenya kwa ajili ya hafla hiyo;






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news