Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 1, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2488.59 na kuuzwa kwa shilingi 2513.94.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 1, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2829.59 na kuuzwa kwa shilingi 2859.05 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.64 na kuuzwa kwa shilingi 631.85 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.45 na kuuzwa kwa shilingi 148.76.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.87 na kuuzwa kwa shilingi 2320.85 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7524.63 na kuuzwa kwa shilingi 7596.89.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 212.57 na kuuzwa kwa shilingi 221.70 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.59 na kuuzwa kwa shilingi 132.88.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.48 na kuuzwa kwa shilingi 18.63 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.62 na kuuzwa kwa shilingi 17.78 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 340.17 na kuuzwa kwa shilingi 343.47.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 1st, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6456 631.8505 628.7481 01-Feb-23
2 ATS 147.4545 148.761 148.1077 01-Feb-23
3 AUD 1607.5908 1624.8271 1616.2089 01-Feb-23
4 BEF 50.2982 50.7434 50.5208 01-Feb-23
5 BIF 2.2001 2.2167 2.2084 01-Feb-23
6 BWP 178.3148 180.5621 179.4385 01-Feb-23
7 CAD 1708.9627 1725.4108 1717.1867 01-Feb-23
8 CHF 2480.6988 2504.4243 2492.5615 01-Feb-23
9 CNY 340.1734 343.4684 341.8209 01-Feb-23
10 CUC 38.3638 43.6086 40.9862 01-Feb-23
11 DEM 920.7322 1046.6065 983.6694 01-Feb-23
12 DKK 334.5911 337.8878 336.2395 01-Feb-23
13 DZD 18.3932 18.3966 18.3949 01-Feb-23
14 ESP 12.1948 12.3024 12.2486 01-Feb-23
15 EUR 2488.5946 2513.9447 2501.2697 01-Feb-23
16 FIM 341.2545 344.2785 342.7665 01-Feb-23
17 FRF 309.3235 312.0596 310.6916 01-Feb-23
18 GBP 2829.5987 2859.0551 2844.3269 01-Feb-23
19 HKD 293.2005 296.1099 294.6552 01-Feb-23
20 INR 28.0996 28.3615 28.2305 01-Feb-23
21 ITL 1.0479 1.0572 1.0525 01-Feb-23
22 JPY 17.6177 17.7897 17.7037 01-Feb-23
23 KES 18.4791 18.6339 18.5565 01-Feb-23
24 KRW 1.8613 1.8774 1.8693 01-Feb-23
25 KWD 7524.6293 7596.8903 7560.7598 01-Feb-23
26 MWK 2.0887 2.2271 2.1579 01-Feb-23
27 MYR 539.0268 543.7156 541.3712 01-Feb-23
28 MZM 35.4063 35.7054 35.5559 01-Feb-23
29 NAD 97.8787 98.7868 98.3328 01-Feb-23
30 NLG 920.7322 928.8973 924.8148 01-Feb-23
31 NOK 228.4053 230.6206 229.5129 01-Feb-23
32 NZD 1476.6121 1492.3066 1484.4593 01-Feb-23
33 PKR 8.153 8.6518 8.4024 01-Feb-23
34 QAR 773.1144 778.3978 775.7561 01-Feb-23
35 RWF 2.1062 2.169 2.1376 01-Feb-23
36 SAR 612.2759 618.3327 615.3043 01-Feb-23
37 SDR 3098.0406 3129.021 3113.5308 01-Feb-23
38 SEK 219.5684 221.7005 220.6345 01-Feb-23
39 SGD 1744.9095 1761.6897 1753.2996 01-Feb-23
40 TRY 122.17 123.3563 122.7632 01-Feb-23
41 UGX 0.599 0.6284 0.6137 01-Feb-23
42 USD 2297.8713 2320.85 2309.3606 01-Feb-23
43 GOLD 4371056.7198 4415950.9205 4393503.8202 01-Feb-23
44 ZAR 131.5995 132.8789 132.2392 01-Feb-23
45 ZMK 117.3124 121.8294 119.5709 01-Feb-23
46 ZWD 0.43 0.4387 0.4343 01-Feb-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news