Wakurugenzi wa wizara wapitishwa kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Crispian Musiba akiongoza kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu kilichofanyika tarehe 23 Februari, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Mshauri Mwelekezi Mhe. Oscar Mukasa akiwasilisha mada katika kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu kilichofanyika tarehe 23 Februari, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Mratibu wa Uraghbishi na Mawasiliano Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu na Ukoma kutoka Wizara ya Afya Bw. Julius Mtemanji akiwasilisha mada wakati wa kikao hicho. Baadhi ya washiriki wa kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu wakifuatilia kikao hicho.
Washiriki wa kikao cha kuwapitisha Wakurugenzi wa Wizara kwenye Mkakati wa Uwajibikaji kisekta katika Mapambano Dhidi ya Kifua Kikuu wakika katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa kikao hicho.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news