Wanafunzi NDC watembelea makao Makuu ya Polisi

Kamishna wa Intelejensia ya Jinai CP Charles Mkumbo akimkabidhi Kalenda na Jarida la Polisi Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Meja Jenerali Michael Mhona wakati wa ziara ya kimafunzo ya wanafunzi wa chuo hicho Makao Makuu ya Polisi Jijini Dododma Februari 21, 2023. Kamishna Mkumbo ni mmoja wa Viongozi waliopita katika chuo hicho. (Picha na Jeshi la Polisi).
Kamishna wa Intelejensia ya Jinai CP Charles Mkumbo akizungumza na Uongozi wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) wakati wa ziara ya kimafunzo ya wanafunzi wa chuo hicho Makao Makuu ya Polisi Jijini Dododma Februari 21, 2023. Kamishna Mkumbo ni mmoja wa Viongozi waliopita katika chuo hicho. (Picha na Jeshi la Polisi).
Kamishna wa Intelejensia ya Jinai CP Charles Mkumbo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) wakati wa ziara ya kimafunzo ya wanafunzi wa chuo hicho Makao Makuu ya Polisi Jijini Dododma Februari 21, 2023 (Picha na Jeshi la Polisi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news