Aishi Manula ndiye mchezaji bora wa mwaka

NA DIRAMAKINI

MLINDA mlango wa Klabu ya Simba, Aishi Manula amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika hafla ya tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT).

Manula amewapiku walinzi Mohamed Hussein na Shomari Kapombe alioingia ingia nao fainali ya kinyang’anyiro hicho ambao wote wanatoka kwenye kikosi hicho.

Aishi amedaka asilimia kubwa ya mechi pamoja na timu ya Taifa kwa mwaka mzima huku akiwa kwenye ubora mkubwa.

Post a Comment

0 Comments