Kamati yapokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya TACAIDS


KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) tarehe 12 Machi, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano Bungeni Dodoma.

Post a Comment

0 Comments