SIMULIZI YA KUTISHA KATIKA MAISHA-1

NA WILLIAM BOMBOM

NAITWA The BOMBOM mwenyeji wa Mkoa wa Mwanza Wilaya ya Magu, mimi ni Msukuma kwa kuzaliwa na kulelewa. 

Baba yangu alikuwa Msukuma na mama yangu pia alikuwa Msukuma.

Kama ilivyo ada kila mmoja hapa duniani huja kwa njia zake. Wapo waliokuja duniani baada ya wazazi wao kufanya mapenzi shule wakiwa wanafunzi.
Wengine walipatikana baada ya wazazi wao kukutana vilabuni wakiwa wamelewa chakari. Kwa upande mwingine wapo waliopatikana nyumba za kulala wageni baada ya wazazi wao kuvunja ile amri. Kwa upande wangu THE BOMBOM nilipatikana kichakani, hakika nilipatikana kichakani. 

Jambo hili hunitia hasira kila ninapotafakari, kuna muda huwa ninamlaani baba kwa njia za hovyo alizozitumia kunipata.

Laiti kama baba yangu mzazi angelikuwa hai mpaka leo, hakika ningelimuua kwa mikono yangu.

Ninamchukia baba yangu mzazi, haitatokea nikamsamehe hata siku moja. Ndugu msomaji hebu twende pamoja kwenye kisa hiki cha kusisimua.

Mama yangu mzazi aliitwa Kabula, alipewa jina hilo kulingana na kuzaliwa wakati wa mvua. Majina ya kabila la kisukuma huwa yana maana, wapo kina: Lugedeja, Malale, Ngasa, Shinje, Shija, Makoye nk.

Majina yote hayo hutokana na matukio maalumu wakati wa kuzaliwa. Mama yangu alizaliwa akiwa mzima wa siha njema, baba yake na mama aliitwa Masalu.

Mzee huyu alikuwa ni mfugaji mkubwa wa mifugo, alikuwa na ng'ombe zaidi ya elfu ishirini.

Alifuga pia punda, mbuzi, kondoo na mbwa wasio na idadi. Kama ilivyo kawaida kwa wafugaji hawa, hutumia madawa ya aina mbalimbali kulinda mali zao. Wapo ambao huwatoa kafara watoto wao, wake, ndugu au watu wengine kulingana na maelekezo ya waganga wao.

Wapo wafugaji ambao humiliki majoka makubwa ambayo hulishwa binadamu angalau mara mbili kwa mwaka.

Wengine wanavidonda visivyopona miaka nenda rudi, yote hii ni kulinda mali walizonazo. Wafugaji wengine hulala na watoto wao, mambo haya yanafanyika kwa kificho sana ni vigumu kwa watu wasio wa jamii hiyo kulitambua hilo.

Kwa upande wa babu yangu mzee Masalu, aliamua kumtoa kafara mama yangu mzazi yaani Kabula alipofikisha miaka kumi. 

Hakumuua bali alimfanya kuwa kichaa, haya yalikuwa ni maelekezo toka kwa mganga wake ili kuendelea kulinda utajiri wake. 

Muda mwingi Kabula alikuwa ni mchafu wa mwili na mavazi, nywele zake zilijaa chawa huku zikiwa na uvundo wa kutisha.

Udende na ukonda ulimchuruzika muda wote alipokuwa akiongea, siku zote alikuwa akilindwa kwa hali na mali kwani yeye ndiye aliyekuwa akizishikilia mali za familia. 

Hakuna mtu aliyethubutu kumchapa au kumkaripia, kwani kila alipokuwa akichukia mali za nyumbani ziliyumba kwa kiasi kikubwa.

Muda mwingi Kabula alishinda nyumbani, familia ya mzee Masalu ilikuwa ni kubwa sana.

Kulikuwa na watu wengi mithili ya nyota, nyumba zilijengwa kuzunguka mazizi ya mifugo yaliyokuwa katikati.

Ungebahatika kuiona familia hiyo usingeitofautisha na kijiji fulani kwa ukubwa na idadi ya watu.

Kila mwanafamilia alimlinda Kabula, ilikuwa ni marufuku kumtawaza kila alipojisaidia haja kubwa au ndogo.

Hayo ndiyo yalikuwa ni masharti toka kwa mganga.

Kila alipokuwa akichafuka zaidi ndipo mifugo walizaana kwa fujo. Ilikuwa ni jambo la kawaida ng'ombe mia mbili kuzaliwa kwa juma moja, idadi ya mbuzi na kondoo waliozaliwa kila siku ilitisha sana.

Katika Wilaya ya Magu, babu yangu alikuwa ni miongoni mwa wafugaji wakubwa.

Babu alikuwa na rafiki zake ambao walikuwa ni wafugaji wakubwa.

Mara nyingi rafiki zake walikuja kumtembelea nyumbani, hata yeye aliwatembelea na kushauriana mambo mbalimbali majumbani kwao.

Miongoni mwa rafiki zake wakubwa alikuwa ni mzee Macheeyeki, huyu alikuwa ni mfugaji mkubwa japo alizidiwa na babu kwa idadi ya mifugo.

Mzee huyu yeye na babu walikuwa chanda na pete, mara nyingi walitembea pamoja. Kila ulipomuona babu ni lazima ungemuona na mzee Macheeyeki, hata kwenye vilabu vya pombe walikwenda pamoja.

Ukaribu wa babu na mzee Macheeyeki ndani yake ulikuwa na siri, kamwe babu hakuifahamu siri hiyo iliyobakia moyoni mwa Mzee Macheeyeki.

Siku zote mzee huyu alitembea na siri yake akitamani kuitimiza pasipo babu yangu kujua. Kama nilivyosema awali kuwa ufugaji huwa na siri kubwa, huhusisha madawa ya kulinda na kuendeleza mali hizo.

Mzee huyo alikuwa ameambiwa na mganga wake kufanya ngono na kichaa, na mganga huyo alimuelekeza kitendo hicho kifanyike kwenye familia ya rafiki yake ambaye ndiye babu yangu mzee Masalu.

Siku moja mzee Macheeyeki alikuja nyumbani kwa babu, moyoni alikuwa amebeba siri kubwa aliyokuwa amedhamilia kuikamilisha.

Hata hivyo kabla hajaja nyumbani alikuwa amechunguza na kubaini kuwa babu hakuwepo, siku hiyo akadhamiria kumbaka Kabula ambaye alikuwa ni kichaa.

Kipindi hicho kichaa huyo alikuwa na umri wa miaka ishirini, alikuwa hajawahi kuingiliwa kimwili maishani mwake yaani alikuwa bikra.

Mzee Macheeyeki alifika nyumbani akapokelewa vyema pasipo na shaka, alikaribishwa kwenye nyumba ya kuzungumzia iliyokuwa karibu na jumba alilokuwa akilala kichaa huyo.

Baada ya mzee huyo kukaribishwa bibi aliagiza watu kwenda kumuita babu aliyekuwa amekwenda shambani kukagua mpunga wake.

Kule kwenye nyumba ya kuzungumzia alibaki mzee huyo peke yake, akaamua kutumia nafasi hiyo kufanya ufirauni wake. 

Baada ya kuhakikisha yuko peke yake mzee huyo, alinyanyuka kwa mwendo wa kunyata mfano wa paka mawindoni akaelekea kwenye chumba cha Kabula.

Alipoukaribia mlango huo aliusukuma taratibu kisha akaingia ndani kimya kimya, harufu kali ya kinyesi kilichochanganyika na mkojo toka chumbani humo alikisikia lakini hakujali.

Kwa mwendo wa paka alinyata kuelekea kitandani alipokuwa amelala kichaa huyo, alibahatika kumuona akiwa kalala juu ya kitanda cha miti kilichotandikwa ngozi. 

Mapigo ya moyo yalikuwa yakimuenda kasi mithili ya saa mbovu, lakini mzee Macheeyeki hakujali hilo akajisogeza kitandani.

Kichaa alikuwa kalala kitandani hapo akiwa kajifunika blanketi chafu gubigubi, ndani ya blanketi hakuwa amevaa nguo yoyote kwani alikuwa uchi wa mnyama. 

Mzee Macheeyeki alipofika kitandani aliingiza mkono wake ndani ya blanketi, mkono wake ulikwenda kugusa chuchu za kichaa huyo.

Mwili wa mzee Macheeyeki ulisisimuka kugusa chuchu hizo, hakuamini namna zilivyokuwa zimesimama mithili ya embe bolibo huku zikiwa na joto la kushangaza. 

Mzee huyo akajikuta anajiramba midomo yake, hakuamini kama angekutana na chuchu za namna hiyo.

Ndugu msomaji jambo unalipaswa kulijua kuwa, mfumo wa uzazi wa vichaa huwa na hisia za hali ya juu.

Toka avunje ungo kichaa huyo hakuwahi kuguswa chuchu zake, kitendo cha mzee Macheeyeki kugusa chuchu hizo alimuibulia hisia za hali ya juu.

Hisia hizo zilimfanya kichaa huyo kuanza kucheka huku akijinyonganyoka mithili ya joka kifutu.

Mzee Macheeyeki kuona hivyo alishukuru mapokezi hayo, alipeleka mdomo wake kifuani kwa kichaa huyo kisha akazishika chuchu kwa midomo yake.

Alianza kuzimung'unya mithili ya ubuyu wa Kizanzibar huku kichaa akichekelea mchezo huo. Joka wa mzee Macheeyeki ndani ya suruali lilikuwa limechachamaa, muda wote lilisimamamia mkia kichwa kikiwa kimevimba tayari kung'ata aliyembele yake. 

Mzee alionekana kuwa mtaalamu kwenye mchezo huo, wakati akinyonya chuchu mikono yake ilikuwa ikitambaa maungoni mwa kichaa.

Kila aliposhika mapaja kicheko kiliongezeka mara dufu kichaa huyo alijisikia raha, mikono iliendelea kutalii mwilini mwa kichaa huyo hatimaye kidole kikakutana na nywele chini ya kitovu.

Kicheko kikaongezeka zaidi jambo lililomfanya mzee Macheeyeki kushituka. 

Kwa mbali alisikia sauti ya babu aliyekuwa akisalimiana na watu huku akija nyumbani hapo, haraka mzee Macheeyeki alimshika nyoka wake akamrudisha ndani ya suruali kisha akafunga zipu na kurudi eneo la kuzungumzia. 

Wakati huo yule kichaa aliendelea kucheka kwa furaha ya hali ya juu, huenda siku hiyo ilikuwa ni ya furaha maishani mwake toka azaliwe.

Mzee Macheeyeki alikaa kwenye kigoda huku akijiweka sawa, uso wake ulikuwa umesawazika kwa haya kwa jambo alilokuwa akimfanyia kichaa huyo muda mfupi uliopita.

Alitaka kumbaka kichaa huyo pasi na huruma, isingekuwa sauti ya babu yamkini angetimiza lengo lake. Nia yake kubwa ni kumiliki na kulinda mali zake kwa njia yeyote.

Babu alifika na kumkuta mzee Macheeyeki akiwa ametulia, walisalimiana kisha wakaandelea na maongezi.

Muda wote walipokuwa wakizungumza yule kichaa aliendelea kucheka, alionekana kuwa mtu wa furaha kiasi kwamba hata mzee Masalu hakuamini.

Baada ya mazungumzo yao kuisha, mzee Macheeyeki aliaga kisha akasindikizwa. Aliondoka eneo hilo akiwa na mawazo sana, alitamani kukamilisha azma yake.

Mganga alikuwa kamuagiza kuwa baada ya kulala na kichaa huyo hakupaswa kuoga, badala yake angeenda kuoga kwa mganga huyo huku akitumia madawa.

Alisisitizwa zaidi kuwa chumvuchumvi na damu ambazo zingesalia maungoni mwake baada ya kulala na kichaa yule ndizo zingekuwa tiba yake halisi.

Aliondoka akiwa na hasira japo mzee Masalu hakugundua. Akiwa njiani alianza kupanga mipango ya namna ya kutembea na kichaa huyo.

Kwa kuwa mzee huyu lengo lake lilikuwa ni kutembea na kichaa huyo, alianza kupeleleza mfumo mzima wa maisha wa nyumbani kwa rafiki yake yaani mzee Masalu.

Alipeleleza ni muda gani familia husambaa, hasa alilenga mzee Masalu na mkewe kwani watu wengine wasingemshitukia. 

Aliendelea kufuatilia maeneo ambayo huchezea kichaa huyo awapo nyumbani. Baada ya uchunguzi wa muda mrefu aliweza kubaini, kupitia hilo mzee Macheeyeki alijipanga kutekeleza azma yake.

Ilikuwa ni siku ya Ijumaa, siku hiyo mzee Macheeyeki alikuwa amepanga kukamilisha shughuli yake aliyokuwa amedhamilia muda mrefu.

Siku hiyo kulikuwa na watu wachache kwenye familia hiyo, mzee huyo aliamua kupitia nyuma ya shamba la mahindi lililokuwa linazunguka mji mzima.

Katika mji huo zizi lilizungukwa kwa nyumba, kwa upande wa nyuma nazo zilizungukwa kwa shamba la mahindi lililokuwa zaidi ya hekari ishirini. 

Shamba  hilo nalo lilizungukwa kwa miti ya minyaa iliyokuwa kama wigo wa kuingia kwenye mji huo.

Kwa mbele kulikuwa na lango kuu la kuingilia mji huo ambao kwa mbali ulionekana mfano wa kijiji.

Mzee Macheeyeki hakupita lango la mbele aliingilia nyuma ya shamba la mahindi. Kwa kuwa alikuwa ameshafanya uchunguzi wa kutosha alikwenda kutokezea kwenye lile jumba la kichaa.

Hakuna mtu aliyemuona akiingia chumbani kwa kichaa, hivyo alikuwa huru kama Tanzania.

Alipoingia chumbani alimkuta kichaa yule akiwa amekaa, yule kichaa alipomuona alimkumbuka akacheka kwa furaha.

Ndugu msomaji hisia za mwili za yule kichaa zilimfanya atamani kufanya jambo ambalo hakuwa amewahi kufanyiwa maishani mwake.

Kama kawaida yake Mzee Macheeyeki alimvua kichaa yule blauzi aliyokuwa kavaa. Chuchu zikabaki wazi pasi na kikwazo, wakati huku mzee Macheeyeki alikuwa akihema mithili ya kinda la ndege kwenye kiota.

Alimrukia kichaa huyo maungoni na kumlaza chini, huku akizibinyabinya chuchu za kichaa yule mithili ya nyanya tengelu. 

Yule kichaa alikuwa akicheka kwa sauti ya juu, alipojaribu kumziba mdomo kwa mikono bado sauti ilisikika.

Akaamua kumshika mkono na kumtoa chumbani humo, alimpeleka kichakani kupitia njia ya shamba la mahindi.

Kichaa yule hakuwa na pingamizi kwani alionekana kuvutiwa na utundu uliokuwa ukifanywa na mzee Macheeyeki...

Ndugu msomaji unadhani mzee Macheeyeki atafanikiwa adhima yake? Tafadhali hebu fuatilia kwa kina kisa hiki cha kusisimua cha KANISA LA KICHAWI sehemu inayofuata.

WABEJA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news