DAR-Aliyekuwa Mkurugenzi wa Africa Media Group (AMGL), ambaye kwa sasa ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais – Ikulu, Shaaban Kissu, amemkabidhi rasmi ofisi Kaimu Mkurugenzi mpya wa AMGL, Dennis Msaky.
Kabla ya uteuzi huo, Msaky alikuwa Katibu Msaidizi wa Habari katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. John Emmanuel Nchimbi.














Tags
Front Pages
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Newspapers
Newspapers Today
Yaliyojiri Magazetini Leo









