DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amewataka watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uadilifu na uzalendo huku wakizingatia viapo vyao kwa vitendo.
Ameyasema hayo Mei 24,2025 alipokuwa akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, ambayo pia ilihusisha kiapo cha maadili kwa viongozi waliokwishateuliwa siku za nyuma.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo








