Rais Dkt.Mwinyi awaapisha Makamishna

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo Machi 6, 2023 katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
Bi.Asha Khamis Hamad akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments