Rais Dkt.Samia na Kamala Harris baada ya futari


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya Futari Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris pamoja na Mume wa Makamu huyo wa Rais Douglas Emhoff mara baada ya Futari Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news