Waziri Simbachawene aongoza kikao cha kupitia utekelezaji mpango wa bajeti

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene amekutana na Wakuu wa Taasisi na Idara ya Ofisi ya Waziri Mkuu katika kikao cha kupitia utekelezaji wa mpango wa bajeti ya mwaka 2023/2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika Sera Bunge na Uratibu akiongoza kikao cha kupitia utekelezaji wa mpango wa bajeti ya Mwaka 2023/2024.

Kikao hicho cha mapitio ya utekelezaji wa mpango wa bajeti kimefanyika jijini Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome.
Wakuu wa Taasisi na Idara ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia kikao cha kupitia utekelezaji wa Mpango wa bajeti ya Mwaka 2023/2024.(Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news