Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/26 zimezidi kunoga, baada ya Juni 14, 2026 Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.

Kutokana na matokeo hayo Simba imefikisha pointi 61 nyuma ya vinara Yanga wenye pointi 63, huku kila timu ikiwa imebakisha michezo minne kumaliza ligi.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo

























