Nabii Asher Mgani aandaa siku nne za kumiliki malango jijini Mwanza

NA DIRAMAKINI

KANISA la Sauti ya Urejesho jijini Mwanza chini ya Nabii Asher Mgani (Fire On) limeandaa mkutano mkubwa wa injili jijini humo.

Nabii Mgani amesema, mkutano huo amabao ni wa siku nne ni mahusususi kwa ajili ya kumiliki malango na kila mmoja atakayefika atauona ukuu wa Mungu katika maisha yake.

"Ni siku nne za kumiliki malango ambapo mkutano huo utafanyika Kishiri CHADEMA jijini Mwanza kuanzia saa 9:30 alasiri tarehe 27 hadi 30 Aprili, 2023 niwakaribishe wote,wakubwa kwa wadogo na waleteni wagonjwa, wanaopitia chgangamoto mbalimbali katika maisha, Mungu atakwenda kuwatendea miujiza,"amefafanua.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news