Rais Dkt.Samia ateta na Balozi wa Rwanda anayemaliza muda wake nchini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Rwanda hapa nchini ambaye anamaliza muda wake Meja Jenerali Charles Karamba mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda hapa nchini ambaye anamaliza muda wake Meja Jenerali Charles Karamba mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2023.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news