Salamu za Eid Mubarak kutoka kwa taasisi,wizara, mashirika na wadau mbalimbali nchini

Eid el Fitr ni moja ya sherehe takatifu na muhimu zaidi za Waislamu. Kwa mujibu wa kalenda ya Kiislamu, sikukuu takatifu ya Eid el Fitr huadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa Ramadhani.

Mwezi wa Ramadhani ni wakati wa uchamungu ambapo Waislamu hufunga, kuswali, kusoma Quran tukufu, na kufanya Tarawehe.

Baada ya kuhitimika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, leo Aprili 22, 2023 ni Sikukuu ya Eid-ul-Fitr ambapo uongozi wa DIRAMAKINI unawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema, kubwa zaidi tuendelee kudumisha amani, upendo na mshikamano kwa ustawi bora wa Taifa letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.






























































Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news