Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 17, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.74 na kuuzwa kwa shilingi 225.91 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.34 na kuuzwa kwa shilingi 128.50.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 17, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2300.99 na kuuzwa kwa shilingi 2324 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7517.85 na kuuzwa kwa shilingi 7590.55.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2871.63 na kuuzwa kwa shilingi 2901.28 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.12.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.66 na kuuzwa kwa shilingi 632.76 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.65 na kuuzwa kwa shilingi 148.96.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2537.53 na kuuzwa kwa shilingi 2563.84.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.30 na kuuzwa kwa shilingi 17.47 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 335.59 na kuuzwa kwa shilingi 338.79.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1555.01 na kuuzwa kwa shilingi 1571.02 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3110.25 na kuuzwa kwa shilingi 3141.35.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1724.10 na kuuzwa kwa shilingi 1740.82 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2581.32 na kuuzwa kwa shilingi 2605.96.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.11 na kuuzwa kwa shilingi 17.25 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 17th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.6654 632.7597 629.7126 17-Apr-23
2 ATS 147.6546 148.9629 148.3087 17-Apr-23
3 AUD 1555.0091 1571.024 1563.0166 17-Apr-23
4 BEF 50.3664 50.8123 50.5893 17-Apr-23
5 BIF 2.2031 2.2197 2.2114 17-Apr-23
6 BWP 175.3354 177.786 176.5607 17-Apr-23
7 CAD 1724.1047 1740.824 1732.4643 17-Apr-23
8 CHF 2581.3216 2605.9655 2593.6435 17-Apr-23
9 CNY 335.5925 338.7903 337.1914 17-Apr-23
10 CUC 38.4159 43.6678 41.0419 17-Apr-23
11 DEM 921.9818 1048.0271 985.0045 17-Apr-23
12 DKK 340.6654 344.0211 342.3432 17-Apr-23
13 DZD 18.8123 18.9245 18.8684 17-Apr-23
14 ESP 12.2114 12.3191 12.2652 17-Apr-23
15 EUR 2537.5319 2563.8368 2550.6843 17-Apr-23
16 FIM 341.7177 344.7457 343.2317 17-Apr-23
17 FRF 309.7433 312.4832 311.1132 17-Apr-23
18 GBP 2871.6356 2901.2816 2886.4586 17-Apr-23
19 HKD 293.1235 296.051 294.5872 17-Apr-23
20 INR 28.156 28.4184 28.2872 17-Apr-23
21 IQD 0.2366 0.2384 0.2375 17-Apr-23
22 IRR 0.0081 0.0082 0.0082 17-Apr-23
23 ITL 1.0493 1.0586 1.054 17-Apr-23
24 JPY 17.3033 17.4724 17.3878 17-Apr-23
25 KES 17.1077 17.2532 17.1804 17-Apr-23
26 KRW 1.7679 1.7839 1.7759 17-Apr-23
27 KWD 7517.8557 7590.5543 7554.205 17-Apr-23
28 MWK 2.0883 2.2592 2.1737 17-Apr-23
29 MYR 522.9523 527.7021 525.3272 17-Apr-23
30 MZM 35.7186 36.0198 35.8692 17-Apr-23
31 NAD 95.3993 96.2579 95.8286 17-Apr-23
32 NLG 921.9818 930.1581 926.07 17-Apr-23
33 NOK 222.6039 224.7647 223.6843 17-Apr-23
34 NZD 1442.0305 1457.3804 1449.7054 17-Apr-23
35 PKR 7.8161 8.2146 8.0154 17-Apr-23
36 QAR 784.0857 791.9642 788.025 17-Apr-23
37 RWF 2.0567 2.1212 2.0889 17-Apr-23
38 SAR 613.4501 619.5186 616.4843 17-Apr-23
39 SDR 3110.2483 3141.3508 3125.7996 17-Apr-23
40 SEK 223.7425 225.914 224.8282 17-Apr-23
41 SGD 1733.0648 1749.7365 1741.4006 17-Apr-23
42 TRY 118.8424 119.9688 119.4056 17-Apr-23
43 UGX 0.593 0.6222 0.6076 17-Apr-23
44 USD 2300.9901 2324 2312.495 17-Apr-23
45 GOLD 4659435.9208 4707238.76 4683337.3404 17-Apr-23
46 ZAR 127.3376 128.5043 127.9209 17-Apr-23
47 ZMK 123.3127 128.0441 125.6784 17-Apr-23
48 ZWD 0.4306 0.4393 0.4349 17-Apr-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news