Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 20, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1712.55 na kuuzwa kwa shilingi 1729.16 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2561.01 na kuuzwa kwa shilingi 2585.47.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 20, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.03 na kuuzwa kwa shilingi 17.18 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.61 na kuuzwa kwa shilingi 224.77 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.25 na kuuzwa kwa shilingi 127.49.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2301.33 na kuuzwa kwa shilingi 2324.34 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7509.63 na kuuzwa kwa shilingi 7578.79.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2858.94 na kuuzwa kwa shilingi 2888.46 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.11.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.72 na kuuzwa kwa shilingi 632.82 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.68 na kuuzwa kwa shilingi 148.98.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2517.88 na kuuzwa kwa shilingi 2543.29.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.11 na kuuzwa kwa shilingi 17.28 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.79 na kuuzwa kwa shilingi 337.09.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1544.65 na kuuzwa kwa shilingi 1561.26 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3104.95 na kuuzwa kwa shilingi 3135.99.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 20th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.723 632.8178 629.7704 20-Apr-23
2 ATS 147.6762 148.9846 148.3304 20-Apr-23
3 AUD 1544.6505 1561.2592 1552.9548 20-Apr-23
4 BEF 50.3738 50.8196 50.5967 20-Apr-23
5 BIF 2.2034 2.22 2.2117 20-Apr-23
6 CAD 1712.5515 1729.1623 1720.8569 20-Apr-23
7 CHF 2561.0135 2585.4727 2573.2431 20-Apr-23
8 CNY 333.7965 337.0905 335.4435 20-Apr-23
9 DEM 922.1167 1048.1804 985.1486 20-Apr-23
10 DKK 337.9433 341.2927 339.618 20-Apr-23
11 ESP 12.2132 12.3209 12.267 20-Apr-23
12 EUR 2517.8816 2543.2928 2530.5872 20-Apr-23
13 FIM 341.7676 344.7962 343.2819 20-Apr-23
14 FRF 309.7887 312.5289 311.1588 20-Apr-23
15 GBP 2858.9382 2888.4574 2873.6978 20-Apr-23
16 HKD 293.1888 296.1094 294.6491 20-Apr-23
17 INR 27.983 28.2526 28.1178 20-Apr-23
18 ITL 1.0495 1.0588 1.0541 20-Apr-23
19 JPY 17.1141 17.2839 17.199 20-Apr-23
20 KES 17.0342 17.1792 17.1067 20-Apr-23
21 KRW 1.7276 1.7438 1.7357 20-Apr-23
22 KWD 7509.6321 7578.7929 7544.2125 20-Apr-23
23 MWK 2.0921 2.2633 2.1777 20-Apr-23
24 MYR 518.3168 523.0288 520.6728 20-Apr-23
25 MZM 35.7794 36.081 35.9302 20-Apr-23
26 NLG 922.1167 930.2942 926.2055 20-Apr-23
27 NOK 218.1745 220.2811 219.2278 20-Apr-23
28 NZD 1427.2829 1441.7881 1434.5355 20-Apr-23
29 PKR 7.8313 8.2269 8.0291 20-Apr-23
30 RWF 2.0577 2.1103 2.084 20-Apr-23
31 SAR 613.6544 619.7578 616.7061 20-Apr-23
32 SDR 3104.95 3135.9996 3120.4748 20-Apr-23
33 SEK 222.6085 224.7694 223.6889 20-Apr-23
34 SGD 1723.582 1740.1662 1731.8741 20-Apr-23
35 UGX 0.5915 0.6207 0.6061 20-Apr-23
36 USD 2301.3268 2324.34 2312.8334 20-Apr-23
37 GOLD 4553151.9277 4599636.4263 4576394.177 20-Apr-23
38 ZAR 126.2488 127.4904 126.8696 20-Apr-23
39 ZMW 129.4079 134.3549 131.8814 20-Apr-23
40 ZWD 0.4306 0.4394 0.435 20-Apr-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news