CCM yaahidi ushirikiano kwa wanahabari

NA MWANDISHI WETU

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amekutana na kuzungumza na waandishi wa vyombo vya habari (Magazeti, Televisheni, Redio na Blogu) nchini katika kuhakikisha mahusiano baina ya CCM na wanahabari yanazidi kuwa bora na kuendelea kuimarika, kulingana na mahitaji ya wakati.

Chama Cha Mpainduzi kitaendelea kutambua umuhimu na nafasi ya vyombo vya habari katika kueneza Sera na Itikadi ya Chama cha Mapinduzi na kuuhabarisha umma kuhusu utekelezaji wa Ilani ya CCM na utendaji kazi wa Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news