Hafla ya Uzinduzi wa Uchangiaji wa Fedha za Mapambano dhidi ya UKIMWI

HAFLA ya Uzinduzi wa Uchangiaji wa Fedha za Mapambano dhidi ya UKIMWI kupitia Programu ya Kupanda Mlima Kilimanjaro (Kili Challenge) mwaka 2023.Hafla ilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Jakaya Kikwete.

Post a Comment

0 Comments