Mtume Balozi Dkt.Peter Nyaga ana jambo kubwa RGC Miracle Center Tabata Chang'ombe

NA DIRAMAKINI

BAADA ya Mtume na Nabii Dkt.Peter Njue Nyaga wa Urejesho TV Africa na Kanisa la RGC Miracle Center lililopo Tabata Chang'ombe jijini Dar es Salaam kutunukiwa Ubalozi wa Kudumu wa Amani Duniani kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akiifanya katika mataifa mbalimbali ya Afrika Mashariki na Afrika, sasa amerejea Tanzania kuachilia upako wa kung'arisha nyota yako.

Ubalozi huo ametunukiwa na International College of Peace Studies U.S.A siku ya Mkesha Mkubwa wa kuliombea Taifa la Kenya amani uliofanyika Mei 5, 2023 katika Ukumbi wa Nairobi Cinema uliopo jijini Nairobi nchini Kenya.

Shalom.!! Habari za Leo...Nakualika kuendelea kusikiliza UREJESHO RADIO FM kupitia link hii kwa chini hapo. Wakati unasikiliza Mungu akupe majibu ya maswali yako. Chanzo cha imani ni kusikia, Sikia leo kupitia redio hii.
https://zeno.fm/radio/urejesho-radio/

Umebarikiwa. Share baraka hizi na watu wote

Sikiliza Urejesho Radio na Angalia Urejesho TV. Tangaza Huduma yako, Biashara na mengineyo kwa bei nafuu sana!

Tunapatikana Mataifa 72, kupitia Dish la Azam TV, Zuku TV, Star Times Africa, Signet Kenya na Decoda ze Free to Hear.Urejesho TV inapatikana Azam TV Other Channels masaa 24.
ReligiousDar es salaam, TanzaniaSwahili

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news