Waziri Dkt.Mwigulu apokea ripoti za Sensa

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia baada ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, kukabidhi ripoti hiyo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba (katikati) ambaye alimkabidhi Mhe. Waziri Dkt. Nchemba, Katika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango (Treasury Square), jijini Dodoma.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akitoa maelezo ya awali ya Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb). Ofisi za Treasury Square, Jijini Dodoma. Katikatika ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akipokea Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba (katikati), baada ya kukabidhiwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Dkt. Albina Chuwa, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akionesha Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia, baada ya kupokea kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba, baada ya kukabidhiwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Dkt. Albina Chuwa, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akisoma Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia, baada ya kuipokea kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba, baada ya kukabidhiwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news