Waziri Mhandisi Masauni aongoza kikao cha kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya, na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya, na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam, Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam, Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Kupitia Rasimu ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo inatarajiwa kuwasilishwa Jumatatu Mei 29, 2023, Bungeni, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam, Mei 26, 2023, na kuhudhuriwa na Watendaji Wakuu wa Taasisi pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news