Yanga SC yaitisha mkutano mkuu

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam,Mhandisi Hersi Ally Said ameitisha Mkutano Mkuu wa mwaka utakaofanyika Juni 24, mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Mhandisi Said ametoa tangazo hilo saa chache kabla ya mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo klabu hiyo ni wenyeji.

Katika mtanange huo, Yanga SC itamemyana na USM Alger kutoka nchini Algeria saa 10:00 jioni katika Dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke,Dar es Salaam;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news