Balozi wa Amani Duniani, Mtume Dkt.Nyaga aja na Operesheni Tingisha Dar es Salaam

NA DIRAMAKINI

BALOZI wa Kudumu wa Amani Duniani ambaye pia ni Mtume na Nabii Dkt.Peter Njue Nyaga wa Urejesho TV Africa na Kanisa la RGC Miracle Center lililopo Tabata Chang'ombe jijini Dar es Salaam amekuja na Operesheni Tingisha Jiji la Dar es Salaam.

Kupitia operesheni hiyo ambayo inawakutanisha pamoja zaidi ya manabii 100 jukwaani mbali na kuachilia neno la kinabii kwa mwaka 2023, pia maelfu ya watu  wanafunguliwa katika vifungo mbalimbali vya kishetani;


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news