Dkt.Kazi afunga mafunzo ya wasemaji Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi













NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Dkt. Maduhu Kazi leo Juni Mosi, 2023 amefunga mafunzo ya Wasemaji,Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano wa Wizara na Vyombo vyake vya Usalama na kukabidhi vyeti kwa wahitimu. Mafunzo hayo ambayo yamefanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Magereza kuanzia Mei 30 hadi Juni 1, 2023 yaliwakutanisha Wasemaji, Maafisa Habari toka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto pamoja na NIDA.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news