Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 4,2023

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, Halima Bulembo amesema yeyote mwenye ardhi isiyoendelezwa wilayani humo itachukuliwa na Serikali kwa kuwa ni ukiukwaji wa sheria ya ardhi Ameyasema hayo Juni 2, 2023 wakati akisikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mtaa wa Kichangani, Kata ya Pemba Mnazi, wilayani humo katika ziara ya kikazi.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news