Viongozi wa JKCI wapigwa msasa na Taasisi ya Uongozi

Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijifunza kwa vitendo kupitia mchezo wa jenga jinsi ya kufanya kazi kwa pamoja wakati wa mafunzo siku mbili ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Mkufunzi Moses Mwakazi kutoka Taasisi ya Uongozi akiwafundisha kwa njia ya vitendo viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kufanya kazi kimkakati na kufikia malengo waliyojiwekea wakati wa mafunzo ya siku mbili ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada ya jinsi ya kutunza rasilimali za umma iliyokuwa inatolewa na Paul Bilabaye wakati wa mafunzo ya siku mbili ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Prof. Linda Mhando kutoka Taasisi ya Uongozi akiwafundisha viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) uongozi wa kimkakati na mazoea ya usimamizi wakati wa mafunzo ya siku mbili ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI),Dkt.Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi hiyo mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya uongozi ya siku mbili yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news