Katibu Mkuu Dkt.Jingu ateta na Mkurugenzi wa UN Women

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la UN Women,Hodan Addou kuhusu utekekezaji wa mradi wa uwezeshaji wanawake na wasichana kiuchumi na uongozi (WLER).
Mradi huo wa miaka minne (2022-2025) unaotekelezwa katika mikoa ya Arusha, Dar, es Salaam, Singida, Mtwara, Lindi na Pwani, unafadhiliwa na Serikali ya Ireland kwa ushirikiano na UN Women.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news