Kikao cha kuelekea Kili Challenge 2023


Kikao cha maandalizi kuelekea zoezi la kampeni ya Kili Challenge 2023 ambapo inatarajiwa washiriki 60 kupanda mlima Kilimanjaro na kuendesha baiskeli ikiwa ni sehemu ya kuchangia masuala ya Afua za UKIMWI nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu na Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mkoani Kilimanjaro Julai 14, 2023.Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news