Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 17, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1592.24 na kuuzwa kwa shilingi 1609.33 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3140.79 na kuuzwa kwa shilingi 3172.20.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 17, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.26 na kuuzwa kwa shilingi 228.46 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.89 na kuuzwa kwa shilingi 122.37.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2323.41 na kuuzwa kwa shilingi 2346.65 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7589.39 na kuuzwa kwa shilingi 7658..78.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3043.44 na kuuzwa kwa shilingi 3074.81 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 632.65 na kuuzwa kwa shilingi 638.86 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 149.09 na kuuzwa kwa shilingi 150.41.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2604.78 na kuuzwa kwa shilingi 2631.29.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.73 na kuuzwa kwa shilingi 16.89 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 325.39 na kuuzwa kwa shilingi 328.56.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.44 na kuuzwa kwa shilingi 16.58 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1770.09 na kuuzwa kwa shilingi 1787.87 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2697.57 na kuuzwa kwa shilingi 2723.28.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 17th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 632.6524 638.8572 635.7548 17-Jul-23
2 ATS 149.0937 150.4147 149.7542 17-Jul-23
3 AUD 1592.2369 1609.3326 1600.7847 17-Jul-23
4 BEF 50.8573 51.3075 51.0824 17-Jul-23
5 BIF 2.2245 2.2413 2.2329 17-Jul-23
6 CAD 1770.0868 1787.6514 1778.8691 17-Jul-23
7 CHF 2697.5686 2723.2796 2710.4241 17-Jul-23
8 CNY 325.3947 328.5567 326.9757 17-Jul-23
9 DEM 930.9676 1058.2413 994.6044 17-Jul-23
10 DKK 349.754 353.2196 351.4868 17-Jul-23
11 ESP 12.3304 12.4392 12.3848 17-Jul-23
12 EUR 2604.7815 2631.2987 2618.0401 17-Jul-23
13 FIM 345.0481 348.1057 346.5769 17-Jul-23
14 FRF 312.7621 315.5287 314.1454 17-Jul-23
15 GBP 3043.4425 3074.8155 3059.129 17-Jul-23
16 HKD 297.2869 300.2559 298.7714 17-Jul-23
17 INR 28.2782 28.5418 28.41 17-Jul-23
18 ITL 1.0596 1.0689 1.0642 17-Jul-23
19 JPY 16.7345 16.8982 16.8163 17-Jul-23
20 KES 16.4373 16.5782 16.5078 17-Jul-23
21 KRW 1.8317 1.8493 1.8405 17-Jul-23
22 KWD 7589.39 7658.7794 7624.0847 17-Jul-23
23 MWK 2.0585 2.1945 2.1265 17-Jul-23
24 MYR 513.6891 518.1387 515.9139 17-Jul-23
25 MZM 36.0275 36.3315 36.1795 17-Jul-23
26 NLG 930.9676 939.2235 935.0956 17-Jul-23
27 NOK 231.9844 234.227 233.1057 17-Jul-23
28 NZD 1480.0159 1495.9893 1488.0026 17-Jul-23
29 PKR 7.9701 8.4469 8.2085 17-Jul-23
30 RWF 1.9716 2.03 2.0008 17-Jul-23
31 SAR 619.3133 625.4397 622.3765 17-Jul-23
32 SDR 3140.7935 3172.2015 3156.4975 17-Jul-23
33 SEK 226.2641 228.46 227.3621 17-Jul-23
34 SGD 1758.4317 1775.3443 1766.888 17-Jul-23
35 UGX 0.6094 0.6389 0.6241 17-Jul-23
36 USD 2323.4158 2346.65 2335.0329 17-Jul-23
37 GOLD 4548022.6164 4595039.6636 4571531.14 17-Jul-23
38 ZAR 128.8882 129.9608 129.4245 17-Jul-23
39 ZMW 121.6579 122.3679 122.0129 17-Jul-23
40 ZWD 0.4348 0.4436 0.4392 17-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news