Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 7, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 212.31 na kuuzwa kwa shilingi 214.37 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 122.36 na kuuzwa kwa shilingi 123.38.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 7, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2319.91 na kuuzwa kwa shilingi 2343.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7550.81 na kuuzwa kwa shilingi 7623.84.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2961.83 na kuuzwa kwa shilingi 2992.15 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 631.77 na kuuzwa kwa shilingi 637.91 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.87 na kuuzwa kwa shilingi 150.19.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2525.92 na kuuzwa kwa shilingi 2552.11.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.13 na kuuzwa kwa shilingi 16.29 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 320.76 na kuuzwa kwa shilingi 323.92.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.47 na kuuzwa kwa shilingi 16.61 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1746.66 na kuuzwa kwa shilingi 1763.99 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2590.34 na kuuzwa kwa shilingi 2615.08.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1549.93 na kuuzwa kwa shilingi 1566.60 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3090.58 na kuuzwa kwa shilingi 3121.49.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 7th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 631.7668 637.9108 634.8388 07-Jul-23
2 ATS 148.8687 150.1878 149.5283 07-Jul-23
3 AUD 1549.9325 1566.6033 1558.2679 07-Jul-23
4 BEF 50.7806 51.2301 51.0053 07-Jul-23
5 BIF 2.2212 2.2379 2.2296 07-Jul-23
6 BWP 171.2094 173.3901 172.2998 07-Jul-23
7 CAD 1746.6578 1763.9916 1755.3247 07-Jul-23
8 CHF 2590.3427 2615.0781 2602.7104 07-Jul-23
9 CNY 320.762 323.9248 322.3434 07-Jul-23
10 CUC 38.7318 44.0269 41.3793 07-Jul-23
11 DEM 929.5632 1056.6449 993.104 07-Jul-23
12 DKK 339.2278 342.585 340.9064 07-Jul-23
13 DZD 18.6386 18.7503 18.6944 07-Jul-23
14 ESP 12.3118 12.4204 12.3661 07-Jul-23
15 EUR 2525.919 2552.1154 2539.0172 07-Jul-23
16 FIM 344.5276 347.5805 346.0541 07-Jul-23
17 FRF 312.2903 315.0527 313.6715 07-Jul-23
18 GBP 2961.8302 2992.1515 2976.9909 07-Jul-23
19 HKD 296.6221 299.5691 298.0956 07-Jul-23
20 INR 28.1366 28.4125 28.2745 07-Jul-23
21 IQD 0.2386 0.2403 0.2394 07-Jul-23
22 IRR 0.0082 0.0083 0.0082 07-Jul-23
23 ITL 1.058 1.0673 1.0626 07-Jul-23
24 JPY 16.1318 16.292 16.2119 07-Jul-23
25 KES 16.4708 16.6119 16.5414 07-Jul-23
26 KRW 1.7818 1.7968 1.7893 07-Jul-23
27 KWD 7550.8101 7623.8368 7587.3234 07-Jul-23
28 MWK 2.0484 2.2169 2.1326 07-Jul-23
29 MYR 497.835 502.3821 500.1085 07-Jul-23
30 MZM 35.7459 36.0478 35.8969 07-Jul-23
31 NAD 92.0893 92.9297 92.5095 07-Jul-23
32 NLG 929.5632 937.8067 933.6849 07-Jul-23
33 NOK 217.088 219.1707 218.1293 07-Jul-23
34 NZD 1441.3606 1456.2429 1448.8018 07-Jul-23
35 PKR 7.9636 8.4513 8.2074 07-Jul-23
36 QAR 812.8634 820.9596 816.9115 07-Jul-23
37 RWF 1.979 2.0309 2.0049 07-Jul-23
38 SAR 618.445 624.5462 621.4956 07-Jul-23
39 SDR 3090.5853 3121.4911 3106.0382 07-Jul-23
40 SEK 212.31 214.3742 213.3421 07-Jul-23
41 SGD 1718.3252 1734.866 1726.5956 07-Jul-23
42 TRY 89.1101 89.9525 89.5313 07-Jul-23
43 UGX 0.6032 0.6329 0.6181 07-Jul-23
44 USD 2319.9109 2343.11 2331.5104 07-Jul-23
45 GOLD 4464877.3019 4510486.75 4487682.0259 07-Jul-23
46 ZAR 122.3575 123.3859 122.8717 07-Jul-23
47 ZMK 124.3267 126.6546 125.4907 07-Jul-23
48 ZWD 0.4341 0.4429 0.4385 07-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news