Jiunge Foundation Programu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

DAR ES SALAAM-Kama wewe una Diploma na GPA yako ni 2.9-2.0 jiunge Foundation ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kisha utajiunga Shahada mara utakapohitimu foundation.

Kumbuka, ili uweze kujiunga foundation, wewe mwenye Diploma unapaswa kuwa na Award Verification Number (ANV) inayotolewa na NACTVET. Ikiwa huna AVN huwezi kuchaguliwa kwani sifa zitakuwa hazijatimia.

Tuma maombi yako sasa hivi kupitia www.out.ac.tz ambapo masomo yanatarajiwa kuanza mwezi Novemba 2023 na kukamilika mwezi Juni 2024.

Kama una swali usisite kuandika ujumbe kupitia nambari 0719017254. Au fika tawi la karibu la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania utahudumiwa.

WENU
Dkt. Mohamed Omary Maguo
Mhadhiri Mwandamizi
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news