Rais Dkt.Samia ateta na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Dkt. Sifundo Chief Moyo wakati alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Dkt. Sifundo Chief Moyo mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo (kulia) na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news