Rais Dkt.Mwinyi ateta na Balozi Silima Kombo Haji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji baada ya mazungumzo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha Agosti 28,2023.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha kulia ni Wasaidizi wa Rais. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news