Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 24, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1786.39 na kuuzwa kwa shilingi 1804.13 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2756.68 na kuuzwa kwa shilingi 2782.98.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 24, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2427.53 na kuuzwa kwa shilingi 2451.81 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7872.40 na kuuzwa kwa shilingi 7948.55.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1557.75 na kuuzwa kwa shilingi 1573.82 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3263.36 na kuuzwa kwa shilingi 3247.20.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.51 na kuuzwa kwa shilingi 222.67 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.06 na kuuzwa kwa shilingi 131.33.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3065.98 na kuuzwa kwa shilingi 3097.37 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 660.98 na kuuzwa kwa shilingi 667.41 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 155.77 na kuuzwa kwa shilingi 157.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2623.44 na kuuzwa kwa shilingi 2650.65.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.69 na kuuzwa kwa shilingi 16.85 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.07 na kuuzwa kwa shilingi 336.32.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.78 na kuuzwa kwa shilingi 16.93 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 24th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 660.9853 667.4135 664.1994 24-Aug-23
2 ATS 155.775 157.1552 156.4651 24-Aug-23
3 AUD 1557.749 1573.8168 1565.7829 24-Aug-23
4 BEF 53.1363 53.6067 53.3715 24-Aug-23
5 BIF 0.8549 0.8573 0.8561 24-Aug-23
6 CAD 1786.3968 1804.128 1795.2624 24-Aug-23
7 CHF 2756.6826 2782.9852 2769.8339 24-Aug-23
8 CNY 333.0683 336.3251 334.6967 24-Aug-23
9 DEM 972.6869 1105.664 1039.1755 24-Aug-23
10 DKK 352.0667 355.5615 353.8141 24-Aug-23
11 ESP 12.883 12.9966 12.9398 24-Aug-23
12 EUR 2623.4367 2650.6517 2637.0442 24-Aug-23
13 FIM 360.5107 363.7053 362.108 24-Aug-23
14 FRF 326.7778 329.6684 328.2231 24-Aug-23
15 GBP 3065.9762 3097.3716 3081.6739 24-Aug-23
16 HKD 309.6227 312.6949 311.1588 24-Aug-23
17 INR 29.3666 29.652 29.5093 24-Aug-23
18 ITL 1.107 1.1168 1.1119 24-Aug-23
19 JPY 16.6898 16.8532 16.7715 24-Aug-23
20 KES 16.7821 16.9266 16.8543 24-Aug-23
21 KRW 1.8112 1.8286 1.8199 24-Aug-23
22 KWD 7872.4045 7948.5509 7910.4777 24-Aug-23
23 MWK 2.0867 2.2283 2.1575 24-Aug-23
24 MYR 521.6018 526.2524 523.9271 24-Aug-23
25 MZM 37.683 38.0008 37.8419 24-Aug-23
26 NLG 972.6869 981.3128 976.9998 24-Aug-23
27 NOK 226.9827 229.1753 228.079 24-Aug-23
28 NZD 1439.2853 1454.6589 1446.9721 24-Aug-23
29 PKR 7.6937 8.1727 7.9332 24-Aug-23
30 RWF 2.0332 2.0832 2.0582 24-Aug-23
31 SAR 647.1528 653.5894 650.3711 24-Aug-23
32 SDR 3231.0487 3263.3591 3247.2039 24-Aug-23
33 SEK 220.5146 222.6692 221.5919 24-Aug-23
34 SGD 1787.4492 1804.6592 1796.0542 24-Aug-23
35 UGX 0.6278 0.6587 0.6433 24-Aug-23
36 USD 2427.5346 2451.81 2439.6723 24-Aug-23
37 GOLD 4628094.8168 4678543.842 4653319.3294 24-Aug-23
38 ZAR 130.0588 131.3306 130.6947 24-Aug-23
39 ZMW 121.2205 125.8953 123.5579 24-Aug-23
40 ZWD 0.4543 0.4635 0.4589 24-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news