Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 4, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.64 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.29 na kuuzwa kwa shilingi 2.30.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 4, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1560.36 na kuuzwa kwa shilingi 1576.20 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3200.79 na kuuzwa kwa shilingi 3232.80.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.62 na kuuzwa kwa shilingi 224.79 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.27 na kuuzwa kwa shilingi 129.51.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2390.26 na kuuzwa kwa shilingi 2414.16 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7769.15 na kuuzwa kwa shilingi 7844.29.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3024.87 na kuuzwa kwa shilingi 3056.08 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.07.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 650.85 na kuuzwa kwa shilingi 657.24 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 153.38 na kuuzwa kwa shilingi 154.74.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2611.59 na kuuzwa kwa shilingi 2638.19.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.74 na kuuzwa kwa shilingi 16.9 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.28 na kuuzwa kwa shilingi 336.52.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.73 na kuuzwa kwa shilingi 16.88 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.28.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1788.18 na kuuzwa kwa shilingi 1805.52 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2728.60 na kuuzwa kwa shilingi 2754.63.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 4th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 650.8529 657.2362 654.0446 04-Aug-23
2 ATS 153.3829 154.7419 154.0624 04-Aug-23
3 AUD 1560.36 1576.2051 1568.2826 04-Aug-23
4 BEF 52.3204 52.7835 52.552 04-Aug-23
5 BIF 2.2885 2.3058 2.2972 04-Aug-23
6 BWP 177.8352 180.0963 178.9657 04-Aug-23
7 CAD 1788.1779 1805.5194 1796.8487 04-Aug-23
8 CHF 2728.6044 2754.6326 2741.6185 04-Aug-23
9 CNY 333.2809 336.5199 334.9004 04-Aug-23
10 CUC 39.9063 45.3619 42.6341 04-Aug-23
11 DEM 957.7503 1088.6855 1023.2179 04-Aug-23
12 DKK 350.5393 353.9928 352.266 04-Aug-23
13 DZD 19.3164 19.3285 19.3225 04-Aug-23
14 ESP 12.6851 12.797 12.7411 04-Aug-23
15 EUR 2611.5953 2638.194 2624.8947 04-Aug-23
16 FIM 354.9747 358.1202 356.5474 04-Aug-23
17 FRF 321.7599 324.606 323.1829 04-Aug-23
18 GBP 3024.8708 3056.0851 3040.478 04-Aug-23
19 HKD 306.1999 309.2579 307.7289 04-Aug-23
20 INR 28.8923 29.1618 29.027 04-Aug-23
21 IQD 0.2458 0.2476 0.2467 04-Aug-23
22 IRR 0.0085 0.0085 0.0085 04-Aug-23
23 ITL 1.09 1.0997 1.0949 04-Aug-23
24 JPY 16.7362 16.9 16.8181 04-Aug-23
25 KES 16.7326 16.8763 16.8045 04-Aug-23
26 KRW 1.8385 1.8537 1.8461 04-Aug-23
27 KWD 7769.1524 7844.2943 7806.7233 04-Aug-23
28 MWK 2.1084 2.2818 2.1951 04-Aug-23
29 MYR 524.7546 529.6534 527.204 04-Aug-23
30 MZM 37.1043 37.4172 37.2608 04-Aug-23
31 NAD 95.9735 96.8626 96.4181 04-Aug-23
32 NLG 957.7503 966.2437 961.997 04-Aug-23
33 NOK 231.9062 234.0845 232.9953 04-Aug-23
34 NZD 1452.3204 1467.085 1459.7027 04-Aug-23
35 PKR 8.0594 8.4485 8.254 04-Aug-23
36 QAR 831.0085 838.5012 834.7548 04-Aug-23
37 RWF 2.0152 2.0707 2.0429 04-Aug-23
38 SAR 637.1811 643.45 640.3155 04-Aug-23
39 SDR 3200.7937 3232.8017 3216.7977 04-Aug-23
40 SEK 222.6229 224.7863 223.7046 04-Aug-23
41 SGD 1780.3198 1797.4537 1788.8867 04-Aug-23
42 TRY 88.6561 89.4829 89.0695 04-Aug-23
43 UGX 0.6365 0.6678 0.6522 04-Aug-23
44 USD 2390.2574 2414.16 2402.2087 04-Aug-23
45 GOLD 4620582.7271 4668019.776 4644301.2516 04-Aug-23
46 ZAR 128.2705 129.506 128.8883 04-Aug-23
47 ZMK 120.1321 124.7628 122.4474 04-Aug-23
48 ZWD 0.4473 0.4563 0.4518 04-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news