Naibu Waziri Kitandula atembelea Mapango ya Amboni jijini Tanga

TANGA-Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dunstan Kitandula (Mb) amefanya ziara katika Mapango ya Amboni jijini Tanga kwa lengo la kukagua shughuli za Uhifadhi, utalii na uboreshaji wa miundombinu katika mapango hayo.



Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayosimamia Mapango hayo imeendelea na uboreshaji wa miundombinu ya katika eneo hilo ikihusisha uwekaji wa taa ndani ya mapango, kuboresha njia ndani ya mapango, kuweka mifumo ya malipo pamoja na ujenzi wa geti la kuingia katika mapango hayo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news