Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.Rais Dkt.Samia ateta na ujumbe kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
