Rais Dkt.Samia awaapisha viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Stephen Patrick Mbundi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (atayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Profesa Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Said Shaib Mussa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abdul-Hakim Ameir Issa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Lameck Michael Mlacha kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Paul Joel Ngwembe kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Mustafa Kambona Ismail kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Arnold John Kirekiano kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Angelo Kataraiya Rumisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Said Rashid Ding’ohi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Martha Boniface Mpaze kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ferdinand Hilali Kiwonde kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Evaristo Emmanuel Longopa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.

Viongozi mbalimbali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (atakayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu Wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news