Kumbe mdogo wangu anakula tunda la mke wangu!

NA MWANDISHI WETU

JINA langu ni Rwakatare mkazi wa Mwanza pia mke wangu anaitwa Juliana mwenye umri wa miaka 27, Mwenyezi Mungu katujalia tuna mtoto mmoja wa kike. Mwaka 2018 nilimfungulia mke wangu duka la kuuza nguo za kiume na za kike.

Mke wangu alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hadi duka letu likaongezeka sana japo mimi nilizidi kufanya kazi yangu ya kusafirisha maharage kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali.

Kutokana na kazi yangu, nilikuwa nasafiri mara kwa mara, mwaka 2019 mdogo wangu wa kiume alihitimu kidato cha sita kisha nikaamua kumleta nyumbani ili aweze kusaidiana na mke wangu dukani.

Nilimtumia nauli ya kutoka kijijini kwetu hadi Mwanza mjini kisha nikamtumia dereva wangu akampokea stendi ya Nyegezi, alifika salama nyumbani kwangu nikamuonesha chumba chake cha kulala.

Jinsi biashara ya nguo inavyoenda dukani, walisaidiana na mke wangu pamoja na wafanyakazi wengine katika kufanya shughuli zao za kila siku.

Kwa upande wangu nilikuwa siendi dukani mara kwa mara japo nikipata muda nilikuwa nawatembelea na kuona jinsi gani biashara inavyoenda.

Mwezi mmoja kupita tulifanya mahesabu ya mwezi nikaona kuwa biashara inakua kwa kasi kikubwa sana kutokana na ushirikiano wa mke wangu na mdogo wangu, nikaamua kuongeza shilingi milioni tatu tena katika hiyo biashara, hivyo wakaanza kuuza jumla na rejareja kwa wateja wao.

Kutokana na kupanda kwa biashara kila mwezi mdogo wangu Roja alikuwa anapata laki tatu kwa ajili ya matumizi yake binafsi, nilifanya hivyo ili mdogo wangu asikose kitu chochote anachohitaji.

Pia kupitia nafasi hiyo aweze kuanzisha biashara yake mwenyewe muda ukifika kutokana na matokeo yake ya kidogo cha sita hayakumpatia nafasi ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu.

Mke wangu Juliana na mdogo wangu Roja waliweza kuwa karibu sana kutokana na kufanya biashara pamoja ila kwa upande wangu sikuweza kujua kama kuna kitu kinaweza kuendelea kati yao zaidi ya biashara tu.

Mimi niliendelea na safari zangu za kila mara kama kawaida yangu nikimuacha mke wangu na mdogo wangu wakiendelea na kazi zao.

Siku moja nilitoka safari kisha nikawapitia dukani na kuwasubiri wafunge muda ukiwadia ili turejee nyumbani wote, muda ulifika kisha wakafunga duka na tukarudi nyumbani.

Tulipofika nyumbani niliweza kupumzika kidogo na mke wangu na baadae nikaenda chumbani kwa mdogo wangu Roja kwa ajili ya kumpatia nguo zangu aninyoshee ambazo nitavaa kesho yake asubuhi.

Baada ya kumkadhi nguo zangu alitoa shuka la kutumia kwa ajili ya kunyoosha nguo ndipo niliona chupi ya mke wangu kitandani kwake.

Nilipomuuliza chupi ya mke wangu inafanya nini kitandani kwake akasema hata yeye hajui nani kaileta kwenye chumba chake.

Mimi nilichukua ile chupi hadi chumbani kwetu kisha nikangoja tukimaliza kula nimuulize mke wangu, baada ya chakula ndipo nikamuonesha chupi yake na kumuuliza ilikuwa inafanya nini chumbani kwa Roja.

Mke wangu alicheka kisha akaniambia kuwa mtoto wetu Rita ndiye ana tabia ya kubeba nguo zake kutoka chumbani kwa sababu ameanza kutembea, hivyo kila anachokutana nacho anabeba tu.

Sikuweza mkatalia mke wangu kutokana na maelekezo aliyonipatia ila moyo wangu ulibaki na wasiwasi na kujiuliza mbona mtoto wangu Rita akubeba nguo nyingine zaidi ya chupi, kama amebeba chupi mbona hajaiweka sebuleni.

Kutokana na hayo maswali ilinibidi nianze kuwafuatiliaa mke wangu na mdogo wangu bila wao kujua, ndipo siku moja nikamwambia mke wangu kuwa nasafiri kwenda Karagwe kwa ajili ya kununua maharage, hivyo nitakaa kule siku saba, ila mimi sikuweza kufika Karagwe bali nilibaki Mwanza ili nijue nikitoka kipi huwa kinaendelea nyumbani.

Baada ya siku tatu nilirudi nyumbani usiku bila wao kutarajia, kisha nikamuomba mdogo wangu Roja simu yake kisha nikaenda moja kwa moja kwa WhatsApp na kukutana na picha za uchi za mke wangu pamoja meseji alizokuwa wanatumiana.

Hapo ndiyo nilijua kuwa walikuwa wanashiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu. Je, nifanye nini?, nimfukuze mke wangu au nimfukuze mdogo wangu? Je, nikimfukuza mdogo wangu nyumbani watanifikiriaje hali ya kuwa baba yetu alishafariki na kuniomba niwalee wadogo zangu. Naomba ushauri wenu.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

African Doctors wana dawa ya kumfunga mume asiende nje ya ndoa, dawa ya mvuto wa biashara, dawa ya kuwa na uwezo wa kufanya watu wasikilize kile unachosema.

Dawa ya bahati haswa katika michezo ya bahati nasibu, pamoja na dawa ya kutambua kuwa mwenzake anakusaliti au hapana.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news