🔴LIVE:Waziri Nape Nnauye akifungua Kongamano la Mwaka la TEHAMA (TAIC 2023)


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mheshimiwa Nape Nnauye akifungua Kongamano la Mwaka la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) 2023 ( Tanzania Annual ICT Conference 2023 (TAIC 2023) ambalo linaendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) leo Oktoba 17, 2023 jijini Dar es Salaam;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news