NDUGU WILIAM PASCAL AU LULENGELA SAIMON AMEPOTEA, ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE


PICHANI NI WILIAM PASCAL AU MAARUFU LULENGELA SAIMON MKAZI WA MWABASABI WILAYANI GEITA MKOANI GEITA, ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE AMEPOTEA TAREHE 02 OCT 2023 BAADA YA KUCHUKULIWA NA WATU WASIO JULIKANA AKIWA KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA KUUZA TOFALI ENEO LA MWATULOLE, KWA YEYOTE UTAKAEMUONA TOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI KWA GET/RB/7336/2023 AU PIGA SIMU 0676705591 NA 0757117571. ASANTENI KWA USHIRIKIANO

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news