Rais Dkt.Mwinyi ateta na Balozi wa Finland nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo Oktoba 11, 2023. (Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake, Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe.Theresa Zitting, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news