Bandari Queens mabingwa Ligi Daraja la Pili Taifa

KATAVI-Timu ya Netiboli ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ya Bandari Queens imetwaa Ubingwa wa Mashindano ya Ligi Daraja la Pili Taifa.
Ni baada ya kupata ushindi wa magoli 38 kwa 31 dhidi ya Mapinduzi Dodoma katika mchezo wa tamati uliochezwa Uwanja wa Shule ya Sekondari Nsimbo iliyopo Mpanda mkoani Katavi.

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa, Mheshimiwa Jamila Yusuph amekabidhi kombe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news