Rais Dkt.Samia apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Museveni


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambao umewasilishwa kwake na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa mara baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Uganda ukiongozwa na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa mara baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni. Wengine ni Ujumbe kutoka Tanzania ulioshiriki katika makabidhiano hayo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news