Rais Dkt.Mwinyi ashiriki maziko ya Boraafya Silima

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar amejumuika na wananchi, viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali katika sala ya maiti aliyekuwa Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mkoa wa Mjini,Boraafya Silima katika Msikiti wa Mwembeshauri Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 19 Novemba 2023.
Rais Dkt.Mwinyi ameshiriki pia katika maziko ya Mzee Boraafya Kijijini Ndijani, Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news