Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia mkutano wa Voice of Global South Summit

DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South Summit leo Novemba 17, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo ambao umefunguliwa na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi. Waziri Mkuu ameshiriki mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao ‘Video Conference’

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news