Waziri Mkuu aongoza Mbio za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia jijini Zanzibar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza Mbio za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Mbio za Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo zimeandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mbio za kilobita 20 wananwake, Magdalena Chrispian ambaje aliibuka mshindi wa kwanza upande Mbio za Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar. Kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar, Riziki Pembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mbio za Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar. Wliokaa kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar, Riziki Pembe, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Asma Mwinyi Foundation, Asma Mwinyi na Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Asma Foundation, Asma Mwinyi baada ya kuongoza Mbio za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia (Top GBV Half Marathon) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar leo Novemba 26, 2023. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mjini Magaribi, Idrissa Kitwana Mustafa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news