MAAFA KATESH:Poleni sana Mheshimiwa, asante sana Mheshimiwa



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Katesh wilayani Hanang' siku ya Desemba 7, 2023. Mheshimiwa Rais alikwenda Katesh kuwapa pole wananchi kufuatia mafuriko yaliyoukumba mji mdogo wa Katesh na kijiji cha Gendabi, pia kujionea athali zilizosababishwa na mafuriko hayo kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa miundombinu na mali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news